Je, kwenye Abiola Cup Simba walepewa Medali?

Uki google inakuandikia Abiola cup
Ulishalishwa matango pori baki na ujinga wako ni vigumu mtu kukueleza na hutaelewa.
Hata hivyo nyani wanajipendekeza kwa binadamu lakini sisi watani zetu ni kina Al Ahly sio timu ambayo tu hata makundi imewachukua miaka zaidi ya 20

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hilo hilo kama ilivyokuwa NBC League au Kagame Cup. Tatizo ni upeo mdogo wa masuala ya biashara ya soka na ni vigumu kuielezea kwenye keyboard hapa [emoji16]
Elezea Kwa kifupi
 
Elezea kidogo
 
Kumwelewesha mtu wa utopolo inahitaji uvumilivu,maana hawajawahi kumiliki kitu inaitwa AKILI
 
Sasa club bingwa atakayeishia makundi si anafahamika ni Wewe 🤣🤣🤣...
Sasa kwenye group lako we unaweza kumfunga nani!
Labda ufunge kamba ila sio kumfunga yyte
Aahaaaaas

Tarehe 1 December siyo mbali
 
Sasa club bingwa atakayeishia makundi si anafahamika ni Wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Sasa kwenye group lako we unaweza kumfunga nani!
Labda ufunge kamba ila sio kumfunga yyte
Hesabu za fasta fasta za Yanga

Yanga anachukua 6 point Kwa Al ahly

Then kwa wengine wote draw & win
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Al ahly yupi Wakati ihefu tu kawatandika labda kama unazungumzia Alahly wa Tanga yaani coastal
Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…