Je, kwenye Abiola Cup Simba walepewa Medali?

Je, kwenye Abiola Cup Simba walepewa Medali?

Kipindi kile zawadi ni medali za bati zilizo tengenezwa na visoda pamoja na sahani ya ubwabwa maharage, juisi ya togwa la machicha ya nazi[emoji3][emoji3]
 
Elezea Kwa kifupi
Kwa ufupi ni kwamba huna upeo wa kuelewa kuwa ni kwa nini CAF CL inaitwa TotalEnergies CAF Champions League, na kwa nini Ashburton Grove stadium ya Arsenal ilikuja kuitwa Emirates Stadium. Ni suala la ukosefu wa elimu na exposure ya mambo ya biashara duniani
 
Ulishalishwa matango pori baki na ujinga wako ni vigumu mtu kukueleza na hutaelewa.
Hata hivyo nyani wanajipendekeza kwa binadamu lakini sisi watani zetu ni kina Al Ahly sio timu ambayo tu hata makundi imewachukua miaka zaidi ya 20

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ila kumbuka kabla ya Simba kuingia makundi, ni Yanga ndio alie wakwanza kuingia makundi.
 
Ila kumbuka kabla ya Simba kuingia makundi, ni Yanga ndio alie wakwanza kuingia makundi.
Yanga aliingia makundi miaka 25 iliyopita, ambapo Mzinze alikuwa hajazaliwa ingawa alikuwa ameshaanza shule
 
Kipindi kile zawadi ni medali za bati zilizo tengenezwa na visoda pamoja na sahani ya ubwabwa maharage, juisi ya togwa la machicha ya nazi[emoji3][emoji3]
Makolo wangeandamana sasa
 
Back
Top Bottom