Je kwenye wallet yako unabeba nini..? Vijue vitu vipatikanavyo kwenye wallet za vijana!

Je kwenye wallet yako unabeba nini..? Vijue vitu vipatikanavyo kwenye wallet za vijana!

Hapo kwenye business card.... Kuna mtu anakuwa na card za watu, wengine unakuta walishastaafu au kuacha kazi lkn ziko kwenye wallet tu.

"A voice of one calling in the wildernes"
Wengne hutembea na za hata marehemu...
 
Back
Top Bottom