Je, KY gel ina uwezo wa kuzuia mwanamke asipate mimba?

Je, KY gel ina uwezo wa kuzuia mwanamke asipate mimba?

Mate yanatatizo gan mkuu? Nimeona umeyataja hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayalainishi vizuri hivyo kupelekea kuchubuana, hapo ni suala la wataalamu kuielimisha Serikali kuwa sio kila mtu anayenunua ky ni kwa matumizi ya kufirana, lakini pia wanaofirana iwe wanaume kwa wanawake au wanaume kwa wanaume wanakuwa wamekubaliana na wote wanapata raha hivyo sio rahisi kuwazua na hasa wanaume na wanawake
 
Unadhani kwanini KY haipigwi marufuku wakati matumizi yake yamekuwa mabaya kwa ustaarabu wa jamii yetu!.
Refer Kuberi na mrungi!.
Refer posti yangu namba 8 inayohusu matumizi ya ky
 
Hayalainishi vizuri hivyo kupelekea kuchubuana, hapo ni suala la wataalamu kuielimisha Serikali kuwa sio kila mtu anayenunua ky ni kwa matumizi ya kufirana, lakini pia wanaofirana iwe wanaume kwa wanawake au wanaume kwa wanaume wanakuwa wamekubaliana na wote wanapata raha hivyo sio rahisi kuwazua na hasa wanaume na wanawake
Ni kweli, uharibifu wa wachache usifanye wengi wakakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujawahi kukutana na mwanamke umepiga goli la kwanza la kawaida lakini la pili anakuomba upige nyuma, wapo wengi tu, kama hamna ky hapo inabidi mtumie mate au majimaji ya ukeni kama yapo ya kutosha
Daaa bahati mbaya sijawahi kupiga nyuma kabisa. Hapo ndo sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujawahi kukutana na mwanamke umepiga goli la kwanza la kawaida lakini la pili anakuomba upige nyuma, wapo wengi tu, kama hamna ky hapo inabidi mtumie mate au majimaji ya ukeni kama yapo ya kutosha
Nikikutana na mwanamke wa hivyo nitaanzisha uzi
 
Hizi hapa ndiyo kazi kubwa za ky
1. Kulainisha njia za mkojo za uume au uke kwa ajili ya kuingiza vifaa vya uchunguzi
2. Kulainisha uke kwa ajili ya kuingiza vyombo cha uchunguzi
3. Kulainisha sehemu ya nyuma ya mwanaume/mwanamke kwa ajili ya kuingiza vifaa vya uchunguzi
4. Kuna wanawake wanakuwa wakavu mbele kwa hiyo ky hutumika ili kutojichubua

Matumizi yasiyo rasmi

1. Kufirana kati ya mwanaume na mwanamke au mwanaume kwa mwanaume
Nb: nchi za ulaya haya pia ni matumizi rasmi, kwa waafrika wanalazimika kutumia mafuta ya kupaka au mate ili kufirana hii inaweza kupelekea kutokea kwa matatizo mengine
Hivi ukitumia ky kufanya mapenzi kawaida na mwanamke si inapunguza uwezekano wa michubuko na ukimwi
 
Ukitumia ky huwezi pata mimba maana aliyekuambia atakuwa mfuasi wa nchi za magharibi
 
Back
Top Bottom