Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie.
Utoto, ujana, muchknow, za Makonda vilimfelisha lakini nauona uongozi ndani yake kuliko hata vijana wengi ambao Mama wa Taifa umewaamini katika nafasi mbalimbali. Mama give the Boy second chance amejifunza vya kutosha sidhani kama atakosea tena.
Kimo kitu ndani yake nakiona, kinachoweza kukufaa na kulifaa Taifa.