Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

me nawafananisha na AZAM hapa bongo.
azam hapana, bro labda mbeya city, japokua sasa hiv wamepotea, azam wana resources nyingi kama simba na yanga tu, pengine zaidi ila Leicester city hawana resources nyingi kama wale vigogo tuliowazoea
 
azam hapana, bro labda mbeya city, japokua sasa hiv wamepotea, azam wana resources nyingi kama simba na yanga tu, pengine zaidi ila Leicester city hawana resources nyingi kama wale vigogo tuliowazoea
fafanua plz vigogo wapi?
 
Mpira dakika ya themanini na tano Liverpool wanaongoza Goli 2 kwa moja la Sunderland
 
Huyu Leicester achukue tu maana hakuna wa kumzuia, sijui nani atamfunga ukizingatia anacheza mechi moja tu kwa wiki, hayuko UEFA wala FA wala C1. Kumfunga City nyumbani goli 3 ni kazi kubwa sana
 
Bado ni mapema mno kuwapa trophy Leicester,japo unaweza kusema "So far so good"
 
DEFOE anawanyanyua wapenzi wa Sunderland.

Sunderland wamesawazisha 2-2
 
EPL tunaoijua tunasubiri mpaka siku ya mwisho.....the most unpredictable league hasa baada ya fall of Man utd!
 
Back
Top Bottom