Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
- Thread starter
-
- #21
WLeicester city
Wanakwambiaje
Wasiposhinda bado hawaumii roho
Ila wakishinda kwao ni furaha
hapana Man u hatujapotea,Actually arsenal kama wanataka wapotee kabisa wambadilishe kocha. Yaani watapotea zaidi ya Manchester united !
me nawafananisha na AZAM hapa bongo.they have nothing to lose, kombe kwao ni kama bonus
wazungu ndio wanasema hivyo
Kwani huwa mnakubali kitu nyie ?!W
hapana Man u hatujapotea,
tunakubali kimtindoKwani huwa mnakubali kitu nyie ?!
Huwezi kuwafananisha na Azam.. Labda Stendi au Ndanda.. Azam wana pesa na wananunua wachezaji ghali..me nawafananisha na AZAM hapa bongo.
ha ha ha ha ha NDA NDA umekoseaHuwezi kuwafananisha na Azam.. Labda Stendi au Ndanda.. Azam wana pesa na wananunua wachezaji ghali..
azam hapana, bro labda mbeya city, japokua sasa hiv wamepotea, azam wana resources nyingi kama simba na yanga tu, pengine zaidi ila Leicester city hawana resources nyingi kama wale vigogo tuliowazoeame nawafananisha na AZAM hapa bongo.
fafanua plz vigogo wapi?azam hapana, bro labda mbeya city, japokua sasa hiv wamepotea, azam wana resources nyingi kama simba na yanga tu, pengine zaidi ila Leicester city hawana resources nyingi kama wale vigogo tuliowazoea
Manchester,arsenal, chelsea, Manchester cityfafanua plz vigogo wapi?
Tupo pamoja.Defoee!!!! 2-2
Ubarikiwe sana mkuuTupo pamoja.
Ngoja niumalizie kwanza.
Kuna dakika Nne za nyongeza
Ila cherseaW
hapana Man u hatujapotea,