je lemutuz kubeba box ulaya na kuwa baba salehe kipi bora

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,667
Reaction score
926
Samahani mkuu ningependa kufahamishwa juu ya hili maana nasikia zamani mtu ukiwa ulaya huku nyumbani ilikuwa ni full heshima ila huko mbele watu walikua wanafanya kazi ya kubeba box na kutoa mabarafu barabarani
Kwa heshima yako mkuu ningeomba utupe uzoefu wa kule ulaya maana inasemekana umekaa sana kule kuliko chalinze home
Nawasilisha
 
Ni baba mwenye mtoto aitwaye saleh
 
Thread ya kitoto kinoma. Ni aibu kama Imeandikwa na mtoto wa kiume
Ni bora awe bize kufanya kitu kingine kuliko kutuletea habari za mwanaume mwenzetu tena aliyetupita pesa
 
Huko Ulaya alikuwa Mmwagia Matango tu amerudi hapa njaa kali gari analoendesha amenunuliwa na JUMA PINTO baada ya mchizi kuchoka kuazimwa gari kila siku akaamua ammnunulie mwana gari baada ya hapo akaamia kumpiga vizinga Davis Mosha napo akachokwa Mwana akaamua amfungulie Radio morogoro ili ajipatie vijisenti kidogo apunguze mizinga...... sasa kazi aliyobakiwa nayo ni kumsafisha Prince kupitia sakata la Lugumi
 
M
Mkuu una nondo nzito huyu jamaa alikaa ulaya kweli?? Mie nipo kwenye kujifunza tu
 
Kwani ulaya kazi za box zimeisha wakuu
 
Mkuu
Thread ya kitoto kinoma. Ni aibu kama Imeandikwa na mtoto wa kiume
Ni bora awe bize kufanya kitu kingine kuliko kutuletea habari za mwanaume mwenzetu tena aliyetupita pesa

Mkuu huyu jamaa katupita kipesa kivipi
Msimu wa baridi umekaribia unaonaje tukaenda zetu canada tukafagie barabara turudi na mahellla
 
Mkuu


Mkuu huyu jamaa katupita kipesa kivipi
Msimu wa baridi umekaribia unaonaje tukaenda zetu canada tukafagie barabara turudi na mahellla
Huo mchongo wa kwenda canada ntaupataje...aseee
 
Achane kupoteza muda kumjadili mtu mweny kampun yake na biashara zake, kila siku anasafiri kwenda mbelez.

Ni bora kuandaa uzi wa kuelimisha kuliko huu.
Wanaume wa dar mmeshindika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…