scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
Samahani mkuu ningependa kufahamishwa juu ya hili maana nasikia zamani mtu ukiwa ulaya huku nyumbani ilikuwa ni full heshima ila huko mbele watu walikua wanafanya kazi ya kubeba box na kutoa mabarafu barabarani
Kwa heshima yako mkuu ningeomba utupe uzoefu wa kule ulaya maana inasemekana umekaa sana kule kuliko chalinze home
Nawasilisha
Kwa heshima yako mkuu ningeomba utupe uzoefu wa kule ulaya maana inasemekana umekaa sana kule kuliko chalinze home
Nawasilisha