Je Lengo la Humu Jukwaani kuruhusiwa kutumia emoji 14 pekee ni lipi

Je Lengo la Humu Jukwaani kuruhusiwa kutumia emoji 14 pekee ni lipi

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae.

baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu analazimika kutumia emoji moja wapo kati ya hizo itakayo fanania na wazo lake ili iwe m-badala

je emoji hizi kwanini hazipo na ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa zaidi kilasiku " ✌️👍🖕👉🤝 na nyingine kadhaa ?
 
Back
Top Bottom