Je, leo ni uhuru wa Tanzania Bara au Tanganyika?

Kwahiyo watoto wetu leo tuwaambie ni uhuru wa Nchi gani kati ya Mbili zinazo tajwa na moja iliyofichwa kwenye koti?

cc Mahandare Pascal Mayalla
 
Kwahiyo watoto wetu leo tuwaambie ni uhuru wa Nchi gani kati ya Mbili zinazo tajwa na moja iliyofichwa kwenye koti?

cc Mahandare Pascal Mayalla
Nawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya siku uhuru na jamhuri ya nchi iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania。Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni Mwingereza,9 Desemba 1962 ikawa jamhuri。 Tarehe 26 April 1964 ikaungana na Zanzibar na kubadili jina na kuwa Tanzania,hivyo leo tunapoadhimisha siku hii,ile Tanganyika iliyopata uhuru wake siku hii sasa haipo tena,iliyopo ni Tanzania hivyo kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania。
Heri ya Uhuru na Jamhuri。
P。
 
Kaka Mayalla, huyu mtoto Tanganyika kwanini asitajwe tu ?
Tanganyika ndio aliyezaliwa, Tanzania ni muungano, Tanzania asheherekewe kwenye muungano tu!
 
Leo hakuna ubwabwa, sisi walevi tunakunywa pombe kali 😂 😂 😂 . Gwaride hakuna walahii
 
H
tanganyika ni nchi ya wakoloni na waliotawaliwa wakati wa hiyo tanganyika nadhani wapo wachache tu hivi sasa...

wanachi na vijana wengi wanachofahamu Tanzania pekee, hiyo tanganyika ya wakoloni ni historia tu haina maana yeyete tena..
Historia huwa haifutiki mkuu. Kama Tanganyika ndiyo ilipata uhuru toka kwa mkoloni, itabaki kuwa hivyo.
 
H

Historia huwa haifutiki mkuu. Kama Tanganyika ndiyo ilipata uhuru toka kwa mkoloni, itabaki kuwa hivyo.
Tanzania tunasonga mbele bila kubabaika na mambo ambayo unaweza kusoma nyumbani kwenye gazeti kama tu kuongeza uelewa,

lakini kama taifa hatuwezi kuzubaa au kubabaika badala ya kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya waTanzania wote, waTanganyika wachache waliopo wanaweza kusherehekea tu na ikatosha bila kuhangaisha waTanzania
 
"We can easily forgive a child who is afraid of the dark, the real tragedy of life is when men are afraid of the light." Plato.

Courtesy of Kiranga
 
Leo ni Uhuru wa Tanganyika Iliyo jibadilisha jina na kujiita Tanzania.
 
Huu ni upotoshaji mkubwa sana. Nia ni kupoteza historia na uzalendo wa Tanganyika. Si unaona wanavyoahirisha sherehe za maadhimisho?
 
Hatujawahi kupata uhuru mkuu hizo ni drama kama Huwezi kumchagua mwenyekiti wa mtaa alafu anatamba mtaani kuwa ata husipomchagua anakuongoza je vipi kwa Diwan raisi au mbunge??kwa sasa hivi ni bora mkoloni arudi haraka saana angalau ata wakoloni hawakuteka wala kuua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…