Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
20240304_151135.jpg

Habari za muda huu waungwana.

Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?

Natanguliza shukrani.
 
Kama hana cheti cha driving na hayo madaraja yote akienda kutaka C1,C2 kuna uwezekano kama akienda kupasisha mwenyewe kwa Vehicle wakafuta na madaraja mengine. Hapo labda amtumie mtu mzoefu
Muhimu aende
 
Back
Top Bottom