Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
 
Mwaka wa jana wa 2023 tulianza kulipia leseni ya biashara kupitia mfumo wao mpya wa Tausi. Mwanzoni ulisumbua sana, ila mwishoni mambo yalienda sawa.

Kwa upande wangu naona ilikuwa poa tu, kwa sababu kuna kodi fulani hivi ya kiwiziwizi ya service levy, sikulipia.
 
Back
Top Bottom