bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Moja kwa moja kwenye mada, ni kama Yanga wana asilimia nyingi kuingia fainali CAF confederation cup nimejaribu kuangalia fixtures za CAF fainali inatakiwa kuchezwa 28 May first leg na June 3 second leg wakati huo huo ligi ya NBC inatakiwa kutamatika tarehe 28May hapo sija bado kuna kiporo cha semi final ya Azam confederation cup ni nini kitatokea? karibuni wajuzi