Je, ligi itasimama endapo Yanga atatinga fainali?

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
9,530
Reaction score
20,988
Moja kwa moja kwenye mada, ni kama Yanga wana asilimia nyingi kuingia fainali CAF confederation cup nimejaribu kuangalia fixtures za CAF fainali inatakiwa kuchezwa 28 May first leg na June 3 second leg wakati huo huo ligi ya NBC inatakiwa kutamatika tarehe 28May hapo sija bado kuna kiporo cha semi final ya Azam confederation cup ni nini kitatokea? karibuni wajuzi
 
Uto ina uwezo wa kucheza mechi mbili simultaneously na kushinda zote. Nabi abaki Dar, Kaze aende Mbeya.
Yanga iombe bodi ya ligi mechi zisisogezwe mbele hata kama Madunduka yatakata rufaa kwa kuona yanadhalilishwa.
 
Yanga ina uwezo wa kucheza mpaka mechi 3 kwa siku moja. Ni vile tu sheria za mpira wa miguu haziruhusu.
 
Back
Top Bottom