Mwaka huu mmejipa kazi zisizo zenuFainal ya ndondo cup Labda
Uto ina uwezo wa kucheza mechi mbili simultaneously na kushinda zote. Nabi abaki Dar, Kaze aende Mbeya.Moja kwa moja kwenye mada, ni kama Yanga wana asilimia nyingi kuingia fainali CAF confederation cup nimejaribu kuangalia fixtures za CAF fainali inatakiwa kuchezwa 28 May first leg na June 3 second leg wakati huo huo ligi ya NBC inatakiwa kutamatika tarehe 28May hapo sija bado kuna kiporo cha semi final ya Azam confederation cup ni nini kitatokea? karibuni wajuzi
Mzee wa bahlabane bha ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fainal ya ndondo cup Labda
Atawakana siku si nyingi [emoji16]Mzee wa bahlabane bha ntwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo umejibu kitaalam sio ki utimu kama ulivyozoeleka😅Mashindano madogo lazima yapishe mashindano makubwa.
Yani huwezi ukasema una consistency ya ratiba ya NBC over CAF.
Alibadili mpaka I'd akajiita bahlabane bha ntwa, baada ya kupigwa karudisha jina lake na hagusii kabisa Marumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atawakana siku si nyingi [emoji16]
Anatanga tanga kama kuku mteteaAlibadili mpaka I'd akajiita bahlabane bha ntwa, baada ya kupigwa karudisha jina lake na hagusii kabisa Marumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku si nyingi atajiita asec mimosas au Alger [emoji1787][emoji1787][emoji16]Alibadili mpaka I'd akajiita bahlabane bha ntwa, baada ya kupigwa karudisha jina lake na hagusii kabisa Marumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga ina uwezo wa kucheza mpaka mechi 3 kwa siku moja. Ni vile tu sheria za mpira wa miguu haziruhusu.Uto ina uwezo wa kucheza mechi mbili simultaneously na kushinda zote. Nabi abaki Dar, Kaze aende Mbeya.
Yanga iombe bodi ya ligi mechi zisisogezwe mbele hata kama Madunduka yatakata rufaa kwa kuona yanadhalilishwa.
Tayari anajiita USM ALGER [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku si nyingi atajiita asec mimosas au Alger [emoji1787][emoji1787][emoji16]
Haya sasaFainal ya ndondo cup Labda
Unajisikiaje leo hii..!!Fainal ya ndondo cup Labda
Carrasco Putin ni toto jinga kabisa.Unajisikiaje leo hii..!!