Je limau lina madhara yoyote?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
je nikipaka limau baada ya kunyoa ndevu kuna madhara kwenye ngozi?
 
Halina madhara lakini nadhani halina msaada kwa ngazi maana lengo la kupaka spirit baada ya kunyoa ni kuua bakteri sasa limau lina vitamin C nyingi ambayo haina antibacterial effect. Nadhani nitakuwa nmekusaidia
 
ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…