Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

Je, Lionel Messi ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026?

Dembele ameshinda ligi, UEFA champion na na goli tano so far. Lakini kwa sababu ya uafrika wake hawatampa. 😊
Walivyompa iliyopita alikua mzungu? Mwaka huu ndio kageuka mwafriks?

Africans tuna inferiority ya hali ya juu. Huwezi mpa dembele ballon dor wakati Kuna Messi amefanuya makubwa kwenye hii world cup
 
Messi alishnda tunzo ya fifa player of the year mwaka 2023 akiwa anacheza ligi ya MLS bila ya kuwa namashindano yoyote yakimataifa. Kwahiyo Messi kupewa hiyo tunzo sio kitu kigumu. Yeye na washabiki wake ni very shameless kabisa
Fifa player of the year ilitokana na world cup 2022 ikiyochezwa December. Ilikua lazima Messi achukue
 
Fifa player of the year ilitokana na world cup 2022 ikiyochezwa December. Ilikua lazima Messi achukue

hapana, alishinda tunzo ya fifa player of the year mwaka 2022 baada ya world cup. akashinda tena mwaka uliofata.
 
alien wake nii nini? amekuwa akipakatwa na chama cha fifa na washirika wake kipuuzi sana
Teeh.

Mashabiki wa Ronaldo na Madrid mnapitia hali ngumu sana.

Fikiria Ronaldo keshatoka halafu Messi anacheza fainali ukiwa kama shabiki wa pendu lazima uumie tu.
Screenshot_20260716-053140_Facebook.jpg
 
Ili mambo yasiwe mengi kombe lisizingatiwe kama 2018 modric anapewa balon' d or na mwaka huu wazingatie
 
🐐🐐🐐
messi mbona ana nafasi kubwa sana kupewa ballon d'or hata hii fainali haijaisha bado watakata rufaa irudiwe tena maana yeye ndo fifa princess 🤣🤣
 
Back
Top Bottom