chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Lissu ni Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, asipokuwepo Mwenyekiti basi yeye anachukua mamlaka.
Nimeshtushwa na kauli ya Lissu kuzuia wanachadema wasimuwekee dhamana Mbowe, je anataka Mbowe aozee jela ili aupate Uenyekiti wa Chadema?
Mbona yeye yuko ubeleji kwa kuwa aliwekewa dhamana? Je, TAL ana roho mbaya? Kama anahubiri dola ifate sheria, mbona anazuia CDM na wanachama kutumia sheria kumpa dhamana Mbowe?