Kabisaaaa swahiba👀 hayatuhusu!
Kama hujaelewa kinachoendelea umeamua kuishi kwenye denial.
Acha wapbane wenyeweLissu ni Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, asipokuwepo Mwenyekiti basi yeye anachukua mamlaka.
Nimeshtushwa na kauli ya Lissu kuzuia wanachadema wasimuwekee dhamana Mbowe, je anataka Mbowe aozee jela ili aupate Uenyekiti wa Chadema?
Mbona yeye yuko ubeleji kwa kuwa aliwekewa dhamana? Je, TAL ana roho mbaya? Kama anahubiri dola ifate sheria, mbona anazuia CDM na wanachama kutumia sheria kumpa dhamana Mbowe?
Dah..Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.
Lisu alichukua hatua gani hiyo 2015?!Lisu ashagundua kuwa Mbowe ni msanii wa kisiasa, hana malengo ya kweli ya kushika dola ndo maana mwaka 2015 alifanya magumashi ya kuwaleta wana CCM chadema ili waje kurudisha juhudi za wapinzani nyuma wasishike nchi na kukisambaratisha chama. Mbowe ni mchumia tumbo mkubwa.
Unabishana na madaktari pamoja na samia kwamba alikufa kwa shoti ya umeme kwenye moyo au unataka kusema na wao wanahusikaMbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli
Ndiyo maana LISU alikuwa wa kwanza kusema Magufuli anaumwa na hatapona.