BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.