BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwa akili ya kawaida tu;Unadhani yeye hajajiuliza hayo maswali kabla hajatoa taarifa za awali?Unataka atoe ushahidi kwenye media ili uharibiwe,uhaririwe na kutafutiwa majawabu dhidi yake?Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.
Unataka desa la kukariri?Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.
πππAnachoongea Lissu halengi kieleweke Kwa kila mtu.
Kwani mtu akitaka kukuhonga anakwambia anataka kukuhonga ili ujiandae kumrekodi?Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.
chizi huyu hakuna mtu anamuelewaHuyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.
Kwanza ulichoandika sio sahihi. NikurekebisheHuyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV ikionyesha watu wakitaka kumhonga hakuna?
Sasa hii ya kwamba mtu alie mpenyezea habari za kutaka kuhongwa na Abdul ameisha tangulia mbele ya haki ni ipi hii?
Hizi ni habari mbili zinakinazana bora Lisu alete hata robo ya ushahidi ili wadau tuamini.
Kwani mtu akitaka kukuhonga anakwambia anataka kukuhonga ili ujiandae kumrekodi?
Not even...
Nikutakie heri, baraka, afya njema na mafanikio 2025 kiongozi.
Haya mambo ya siasa yataendelea kujiweka sawa yenyewe.