Je Liverpool ni bora ulaya??

Je Liverpool ni bora ulaya??

Klopp ni one of the best Manager ever wala haitaji pesa nyingi kusajili wachezaji. Yeye ananunua wachezaji wa elfu mbili badaye wanatengenezwa kuwa wachezaji wa Dunia. Yule sio kama Madrid au Manchester united pesa ya kununulia kikosi kizima wananunua mchezaji mmoja. Klopp ni shidahh katika ilimwengu wa soka.
 
Back
Top Bottom