Je, Lucy Shayo kakaa Lupango wiki nzima kwa tuhuma za kutumia laini isiyo yake?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu:

1. Mawaziri wengi wakitaka kuongea mambo yao ili wasifuatiliwe, wanatumia laini za simu ambazo hazijasajiriwa kwa majina yao. Wengi wao hutumia namba za watoto wao au hata za vijana wao wa kazi.

2. Hata watu wa Idara ya Usalama wakiwemo hata Polisi wa Kikosi maalum hutumia namba za simu ambazo hazijasajiliwa kwa majina yao.

3. Watu hao waliotajwa katika hoja namba mbili hapo juu wengine hutumia hata namba za simu ambazo hazijasajiliwa! Nitamuuliza Boniface Anyisile Mwabukusi kama kuna sheria yeyote inayoruhusu makundi fulani ya watu ndani ya nchi kutumia namba za simu zisizosajiliwa!

Nina maana kuwa kama watawala hawakutaki basi watatafuta hata makosa ya kuokoteza ili mradi tu wakubane. Hivi ungekuwa unatumia laini hiyo kumuombea kura Rais Samia, kuposti posti za kusema 'Oktoba Tunatiki', kumtukana Askofu Mwamakula au kumshambulia Maria Sarungi-Tsehai wangekukamata?

Je, kutuhumu mtu kutumia laini ya simu isiyo yake na kumuweka kizuizini wiki kinyume cha sheria sio kosa? Je, huyo anayetumia laini ya simu isiyo yake na huyo anayefinya haki ya mtu kwa wiki, nani ana kosa zaidi mbele ya sheria?

Ngoja niishie hapa, maana Mkuu wa Kikosi cha Mitandaoni anaweza kunimaindi kwa post hii!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ,tunge, Dar es Salaam; 17 Septemba 2025; Saa 4:07 usiku
​
1758168782653.jpg
 
Sheria ni msumeno, unakata kotekote. Ni kosa kisheria kutumia sim card isiyo yako ila bahati mbaya akifanya mtu wa kawaida ni kosa na ataadhibiwa accordingly, akifanya wa kwao aaaah, watawala hawana habari nae.

Ndio maana haitakiwi yoyote kuwa juu ya sheria, hata raisi hatakiwi kuwa juu ya sheria.
 
View attachment 3474488
Huyu demu anafaa kwa kurumangia amekaa sawa kuna mtu ana namba yake nikamtoe sero

USSR
 
Siku hizi ni mwendo tu wa kutishana, kukamatana, kuumizana, kuuana, kutekana, nk. Sijui hui uonevu utaisha lini!
 
Karibu uraiani Lucy Shayo. Nimeambiwa kuwa moja ya tuhuma ulizopewa ni kutumia laini ya simu ya mtu mwingine! Tanzania ni nchi yenye maajabu mengi. Huenda ni nchi pekee ambayo watawala hutunga sheria kwa ajili ya wananchi lakini wao sheria hizo haziwahusu kwa sababu:

1. Mawaziri wengi wakitaka kuongea mambo yao ili wasifuatiliwe, wanatumia laini za simu ambazo hazijasajiriwa kwa majina yao. Wengi wao hutumia namba za watoto wao au hata za vijana wao wa kazi.

2. Hata watu wa Idara ya Usalama wakiwemo hata Polisi wa Kikosi maalum hutumia namba za simu ambazo hazijasajiliwa kwa majina yao.

3. Watu hao waliotajwa katika hoja namba mbili hapo juu wengine hutumia hata namba za simu ambazo hazijasajiliwa! Nitamuuliza Boniface Anyisile Mwabukusi kama kuna sheria yeyote inayoruhusu makundi fulani ya watu ndani ya nchi kutumia namba za simu zisizosajiliwa!

Nina maana kuwa kama watawala hawakutaki basi watatafuta hata makosa ya kuokoteza ili mradi tu wakubane. Hivi ungekuwa unatumia laini hiyo kumuombea kura Rais Samia, kuposti posti za kusema 'Oktoba Tunatiki', kumtukana Askofu Mwamakula au kumshambulia Maria Sarungi-Tsehai wangekukamata?

Je, kutuhumu mtu kutumia laini ya simu isiyo yake na kumuweka kizuizini wiki kinyume cha sheria sio kosa? Je, huyo anayetumia laini ya simu isiyo yake na huyo anayefinya haki ya mtu kwa wiki, nani ana kosa zaidi mbele ya sheria?

Ngoja niishie hapa, maana Mkuu wa Kikosi cha Mitandaoni anaweza kunimaindi kwa post hii!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ,tunge, Dar es Salaam; 17 Septemba 2025; Saa 4:07 usiku
​
View attachment 3474488
Daaa hi nchi mambo mengi yamekuwa ya ovyo sana
 
Sheria ni msumeno, unakata kotekote. Ni kosa kisheria kutumia sim card isiyo yako ila bahati mbaya akifanya mtu wa kawaida ni kosa na ataadhibiwa accordingly, akifanya wa kwao aaaah, watawala hawana habari nae.

Ndio maana haitakiwi yoyote kuwa juu ya sheria, hata raisi hatakiwi kuwa juu ya sheria.
ccm ni majizi yote. Yanajuana vizuri kwamba ni majizi na yanalindana. Ndio maana jizi linalotofautiana na majizi menzake likijaribu tu kuondoka ccm, tayar majizi menzie yanaanza kuanika wizi wake. Ndio maana uliona Lowassa na Sumaye etc, walivopata joto ya jiwe walipojaribu kuondoka ccm. Waliporudi aaaaah ... wakapokelewa na majizi kwa shangwe.
 
Kutumia line yenye usajili usio wako ni kosa kisheria.
Tusiangalie itikadi kwenye uvunjaji wa Sheria kama aliwekwa lupango kwa kosa hilo basi ni sahihi.
Kuna siku mtu atavaa nguo yenye picha ya tundu Lissu na kutenda uhalifu kwa makusudi akitegemea tumtetee kwa sababu ya itikadi kitu hicho sio sahihi.
NRNE
 
Sahihi kabisa mkuu!
 
Sheria ni msumeno, unakata kotekote. Ni kosa kisheria kutumia sim card isiyo yako ila bahati mbaya akifanya mtu wa kawaida ni kosa na ataadhibiwa accordingly, akifanya wa kwao aaaah, watawala hawana habari nae.

Ndio maana haitakiwi yoyote kuwa juu ya sheria, hata raisi hatakiwi kuwa juu ya sheria.
Ahhh nope sheria bongo haikati kote kote, itadepend nani kafanya hilo kosa

Muweke mtu wa karibu kiongoz at the same position, hiyo kesi hutoisikia kabisa
 
Kutumia line yenye usajili usio wako ni kosa kisheria.
Tusiangalie itikadi kwenye uvunjaji wa Sheria kama aliwekwa lupango kwa kosa hilo basi ni sahihi.
Kuna siku mtu atavaa nguo yenye picha ya tundu Lissu na kutenda uhalifu kwa makusudi akitegemea tumtetee kwa sababu ya itikadi kitu hicho sio sahihi.
NRNE
Ni sheria hipi hiyo na ilitungwa lini?
 
Back
Top Bottom