Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

Je, Maamuzi yangu mabaya yanaweza kutumika kumwemka mwingine katika hali nzuri?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu

Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae bila kuchepuka kwa miaka 4

Sasa nilivoona nazidi kudharaulika nikaamua kufanya maamuzi ya kutoka nje na mara zote alinifuma kupitia simu kwani sikuwa makini

Kuna meseji alikuta nimetumiwa na hiyo mchepuko akisema yupo tayari kunizalia

Hapo ndipo alipovurugwa mpaka Sasa ni miezi miwili imepita namuona kabisa amebadilika na akijua kabisa Bado nipo na huyo mwanamke

Basi yeye siku hizi hatumii tena sauti ya kupaniki bali huniomba niachane na huyo mwanamke na mimi humjibu kwamba ntaachana nae tu ila asubirie

Kipindi Cha nyuma alinitishia kwenda kwao Sasa kaka zake wakamwambia asije kukanyaga nyumbani labda tu kama anaenda kusalimia

Kipindi Cha nyuma niliongea nae sana lakini wapi? Lakini nilivomchepukia tu naona adabu imeongezeka

Je, Njia niliyoitumia ni sahihi? Maana imeniletea matokeo mazuri. Au ni mtego tu.
 
Mchepuko akitambua kuwa ni mchepuko na bado anataka kukuzalia, mtego huo
 
Kama umeona mabadiliko Bc shikilia hapo hapo
 
Nikikuonyesha sms anazonitumia toka alipoacha kukukaripia huwezi amini kwamba naye ni mjanja kama wewe.
Anasema nimpe mimba wiki ijayo. Bado natafakari
 
Back
Top Bottom