Kwa kufuatilia madai ya waandamanaji baadhi yamatakwa hayawezi kutimizwa Kama vile suala la kuonba serikali ya mseto au kurudiwa uchaguzi.Swali najiuliza Kama hayatimizwi mwisho wake ni upi? Je kuandamana kwa mabango ndio itafanya mhe Raisi mama Samia aondoke kweli?
Reality inaniambia hawezi ikawa hivyo Kama jibu ni Hilo ndani yangu inaniambia wanaweza kufanikiwa kwenye kubadilisha baadhi ya Vitu lakini lengo kuu lakumtoa Mama Samia ni big no
Reality inaniambia hawezi ikawa hivyo Kama jibu ni Hilo ndani yangu inaniambia wanaweza kufanikiwa kwenye kubadilisha baadhi ya Vitu lakini lengo kuu lakumtoa Mama Samia ni big no