Je maandamano ya wafuasi wa Chadema X Kwa Trump na Rubio yatakuwa na impacts Gani?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media.

Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X.

Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election.

Lengo ni hii kampeini kwenda kimataifa, dunia nzima ijue ulaghai wa CCM Kwa kitu kinaitwa uchaguzi.

Je itakuwa na impacts Gani?
 
Good
 
Wakati CHADEMA wakijiandaa kumshawishi Trump aigeukie Tanzania, Huko kwa Trump Hali ndio hii dhidi ya wanaharakati
Screenshot_20250610-134959.jpg
 
Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media.

Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X.

Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election.

Lengo ni hii kampeini kwenda kimataifa, dunia nzima ijue ulaghai wa CCM Kwa kitu kinaitwa uchaguzi.

Je itakuwa na impacts Gani?
Ni upumbavu mkubwa wako busy na maandamano nchi nzima ,vita ya biashara, vita ya ghaza na kule Ukraine Wamarekani sasa wanaona ujinga wa kidemokrasi kama huu ndoo ulioleta matatizo makubwa ya dunia na Marekani yenyewe chini ya utawala wa Biden.

USSR
 
Subiri wafanye hayo maandamano yao ndipo uje na hii hoja yako, wasiwasi wa nini KADA?
 
Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media.

Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X.

Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election.

Lengo ni hii kampeini kwenda kimataifa, dunia nzima ijue ulaghai wa CCM Kwa kitu kinaitwa uchaguzi.

Je itakuwa na impacts Gani?
Waandamane bila kutukana na kudhalilisha watu.Watashikwa pabaya
 
Yeye mwenyewe anapambana na wanaharakati LA ndio aje kujihusisha na wamatumbi?
 
Back
Top Bottom