Je, Maboga yanalipa?

Je, Maboga yanalipa?

MONTEGO

Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
33
Reaction score
6
Wandugu nataka kulima maboga. Nahitaji kujua zaidi kuhusu Kilimo hichi wakuu.
 
acha wataalamu zaidi waje lakini yanalipa haswa ukiulenga mwezi wa mfungo wa Ramadhan , kwamba wakati huo wewe ndio uyafikishe sokoni
 
acha wataalamu zaidi waje lakini yanalipa haswa ukiulenga mwezi wa mfungo wa Ramadhan , kwamba wakati huo wewe ndio uyafikishe sokoni
mfungo utakuwa mwezi gani mwaka huu?
itabidi kumwagilia?
 
Sioni kama yanalipa, maana ni ya msimu. Lima ngogwe(nyanya chungu) na bamia...ni zinasoko sana halafu ni affordable.. Na ndoto hizo.. nimekuonjesha business plan yangu.
kivipi hayalipi?
 
Rudia kusoma ndugu, nimetoa na sababu yangu ingawa haijashiba.
sijawahi lima maboga kibiashara ila ninaandaa kazi ya mwakani nitakayo tumia miche ya maboga kama rootstock ya matango, na matikiti kuepuka f.wilt.

kimsingi nilijua maboga na tango,tikiti ni familia moja na iwapo haya ya mwisho Unaweza kumwagilia na la awali unaweza kufanya hivyo kuepuka msimu.
 
Oh ok nimekuelewa mkuu lakini kwamimi naona hapana maana si wengi wanaokula maboga ila unaweza fanya research ukaona soko lipoje. Na kama utalima yote ni sawa... Big up
 
nina miaka zaidi ya kumi sijala mabogo hivyo hayalipi,consumption yake ni ndogo ,sio fast moving product kwa watu wa mjini ambako ndio kwenye soko la mazao,watanzania wengi wakishafika mjini wanakula baadhi ya vyakula kwa hamu wanajifanya ni watu wa mikate,soseji,chipsi nk
 
Mkuu kama waweza pata mbegu ya maboga fulani asili ya Japan yatakutoa, ni matamu kama viazi vitamu na pia ukilenga masoko maulumu na wewe ukiwaza hadi processing unakuwa mteja namba one
 
Mkuu hizo mbegu za maboga ya Japan zinapatikana kwenye maduka ya kilimo, na hizo mbegu zinaitweje? Asante.
 
lima ufugie nguruwe ,kama unataka mali utaipata mabogani
 
Ili ya lipe lazima demand iwe kubwa. Sasa ili kujua demand ikoje, jiulize wewe mwenyewe ni mara ngapi umeenda sokoni kuyanunua
 
Nimeyapanda kama elfu 2..mwezi wa 7 naanza kuyatoa..soko tutajuana mbele ya safari
 
Sijawahi kula maboga nasubiri nialikwe mahali niyale Kwa lazima la sivyo sitokuja kula hadi nife me naogopa kuonja vyakula vipya na maboga yalivyo hayatamanishi kabisa
 
Back
Top Bottom