Je machawa yaamemtelekeza mama yao aliyefiwa?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa wameipa kipaumbele, sasa swali langu ni je hawa machawa wamemtelekeza mama yao aliyepatwa msiba wa baba yao? swali la pili ni je mbinu za genge la ccm kuzima moto wa kesi ya jabali ikiwemo kuita machawa ya ccm yanayoitwa wasanii zimeshindikana? Jamani naomba majibu yenu, but only sober minds are invited to give demonstration on this.
 
Machawa hawana akili mkuu..

Hawana access yoyote hata ya kuongea na mama.

Matokeo yake tusio machawa tumetimba kwa ajiri ya heshima na utaratibu wa kila siku.. machawa wote 🖕🖕🖕🖕
 
Ila nyie mnaopinga kila kitu,ndio mna akili?
 
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa wameipa kipaumbele, sasa swali langu ni je hawa machawa wamemtelekeza mama yao aliyepatwa msiba wa baba yao? swali la pili ni je mbinu za genge la ccm kuzima moto wa kesi ya jabali ikiwemo kuita machawa ya ccm yanayoitwa wasanii zimeshindikana? Jamani naomba majibu yenu, but only sober minds are invited to give demonstration on this.
Kesi hairushwi LIVE kama lile Bunge Lao La Mchongo, lakini kila kinachoendelea tunakijua!
Heko Madam Hilda Newton Chadema!
 
Back
Top Bottom