Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ila nyie mnaopinga kila kitu,ndio mna akili?Machawa hawana akili mkuu..
Hawana access yoyote hata ya kuongea na mama.
Matokeo yake tusio machawa tumetimba kwa ajiri ya heshima na utaratibu wa kila siku.. machawa wote ππππ
Bado anabubujikwa na machozi baada ya wote kuachwa wajaneYu wapi kijana machachali Lucas Mwashambwa
Wapi umeona napinga kila kitu ?Ila nyie mnaopinga kila kitu,ndio mna akili?
Kesi hairushwi LIVE kama lile Bunge Lao La Mchongo, lakini kila kinachoendelea tunakijua!Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa wameipa kipaumbele, sasa swali langu ni je hawa machawa wamemtelekeza mama yao aliyepatwa msiba wa baba yao? swali la pili ni je mbinu za genge la ccm kuzima moto wa kesi ya jabali ikiwemo kuita machawa ya ccm yanayoitwa wasanii zimeshindikana? Jamani naomba majibu yenu, but only sober minds are invited to give demonstration on this.