TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Ukitaka salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya!.
Leo nimekaa nikaikumbuka ile Machinjio ya Kisasa iliyokuwa inajengwa Vingunguti tangu kipindi cha Mwenda Mlama!.
Bila shaka itakuwa haikukamilika maana ingekuwa imekamilika ni lazima ningeona kwenye luninga mbwembwe za kusifu,kuabudu na kupambwa kwa watawala!.
Wazee wa Vingunguti hebu nipeni mrejesho!