TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Mkuu ile Machinjio imekamilika?Ukipita pale vingunguti niharufu kali tu.
Wakazi wake sijui wanastahmili vipi hali hiyo
Inafanya kazi
TumezoeaUkipita pale vingunguti niharufu kali tu.
Wakazi wake sijui wanastahmili vipi hali hiyo
Nilipita last week kukawa na foleni, ile ni sehemu ya ajabu kwa sasa kwanza barabara nyembamba na hakuna mitaro mvua kidogo mabwawa kibao barabarani. Harufu kali sanaUkipita pale vingunguti niharufu kali tu.
Wakazi wake sijui wanastahmili vipi hali hiyo