Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Yesu mwenyewe alisema hajui siku wala saa , ni Mungu peke yake anajua.Wdau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi
"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"
"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"
(Early Writings, pp. 15, 34, 285).
Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko
Aksanteni sana wapendwa
Yesu atakuja kama mwizi.Wdau hamjamboni nyote?

Aje Dar atazoa waumini wote wa kule kwenye chumvi mafuta na majiWdau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi
"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"
"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"
(Early Writings, pp. 15, 34, 285).
Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko
Aksanteni sana wapendwa
As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the Day and Hour of Jesus' coming"NI WAPI ALISEMA SIKU?
Alinyeshwa siku na saaUmeandika maandiko kwa kukatakata ,umeungaunga Sana
I think una ajenda yako
Hakuna sehemu hapo kasema alionyeshwa Ni siku gan Wala mwaka gani
asije kwanza bana tuinjoy na sisi maisha ya humu dunianiWdau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi
"As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"
"Mungu amenionyesha katika maono matakatifu ... tulisikia sauti ya Mungu kama maji mengi ambayo yalitupa siku na saa ya kuja kwake Yesu"
Karibuni tujadili kwa hekima kubwa na kwa kutoa ushahidi wa kimaandiko
Aksanteni sana wapendwa
*Nukuu kutoka kitabu cha Early Writings, ukurasa wa 155, 34, 285).
View attachment 2763965
Labda kuna wengine, lakini kama ni Kanisa la Waadventista lilikuwa bado halijaanzishwa wakati huo wa 1844, hivyo kabla ya kuongea uwe na taarifa sahihi vinginevyo itakuwa ni kama unaropoka tuYesu mwenyewe alisema hajui siku wala saa , ni Mungu peke yake anajua.
Tumia Maandiko matakatifu, wote waliojifanya wametabiri sijui Yesu anakuja kesho sijui tarehe ngapi, wamepigwa K.O.
Waadventista walisema 1844 anakuja, Hakuonekana.
Kwa kuwani wakati ujao. Acha tumuamini
🤣Ihesabiwe na kutambulika kuwa mimi Barnabas Mashamba nimesoma uzi huu ila sijauelewa.
Ndo ileile sema tu kundi liligawanyika baada ya Ellen kutoa sababu za Yesu kutowasili 1844 na pia akaongea kuhusu sabato.Labda kuna wengine, lakini kama ni Kanisa la Waadventista lilikuwa bado halijaanzishwa wakati huo wa 1844, hivyo kabla ya kuongea uwe na taarifa sahihi vinginevyo itakuwa ni kama unaropoka tu
Kwa taarifa tu 1863 ndio SDA ilianzishwa rasmi