zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Habari Wana Forum, naimani mu wazima wa afya.
Kabla sijaanza naomba radhi kwasababu ntatumia code mixing na code switching Ili kurahisisha ujumbe.
Kila mmoja ana jinsi yake ya kudefine na kuyaelewa Mafanikio. Lakini nijikite zaidi kwenye Mafanikio ya kiuchumi. Kichumi lakini pia kwa mtu binafsi sio kitaifa. (individual success).
Mara nyingi unaweza kupita YouTube au mahali pengine popote kwenye sources za information.. na ukakutana na Heading ikiwa imeandika #THINGS TO DO IF U WANT TO BECOME SUCCESSFUL# au mara nyingine #THINGS ONLY SUCCESSFUL PEOPLE DO#. Kutokana na shauku ya kufanikiwa unaweza jikuta huchukui hata sekunde kabla hujafungua mahala hapo na Kuanza kusoma au kusikiliza yaliyomo.
Humo ndani utakuta njia za kukufanya ufanikiwe zikielezwa vizuri na wale tunaowaita motivational speakers mara nyingi au pengine some entrepreneurs wengine wakitoa ushauri na maelezo au hatua za kufuata ili ufanikiwe.
Kwa dhana hiyo ni kwamba wao huamini Ili ufanikiwe kuna vitu inabidi uvizingatie na uvifutate ili ufanikiwe. Kwangu mimi nimetumia mkusanyiko wa vitu hivyo kama Formula.
Sasa idea yangu ni kwamba Je ni Kweli au kuna uwezekano kwamba Mafanikio yana Formula..na ukizifuata unaweza kufanikiwa possibly.
Je, mifumo ya maisha inachangia Katika individual success. Je, ukiweza kufuatisha mifumo Flani ya maisha unaweza kufanikiwa.
Au ni kwamba Mafanikio hayana cha formula ni kudra za Mungu au bahati sometimes inakuaje hapa Wakuu.
Nashusha Nondo.