Blue Heart
New Member
- Feb 1, 2017
- 2
- 0
Habarini wandugu,poleni na majukumu ya hapa na pale.Mimi najishughulisha na ufundi simu,je nami natakiwa kwenda kukata lesen ya biashara kwa kazi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapHabarini wandugu,poleni na majukumu ya hapa na pale.Mimi najishughulisha na ufundi simu,je nami natakiwa kwenda kukata lesen ya biashara kwa kazi hiyo?
Ndio. Tena ukanunue na EFD uwakatie receipts wateja wako!Habarini wandugu,poleni na majukumu ya hapa na pale.Mimi najishughulisha na ufundi simu,je nami natakiwa kwenda kukata lesen ya biashara kwa kazi hiyo?
Nikazi iyoNdio. Tena ukanunue na EFD uwakatie receipts wateja wako!