Je, mafuta ya kondomu ni salama?

Je, mafuta ya kondomu ni salama?

Nje ya Mada-Ya kutafakari.


Mapato yanayopatikana na
ukosefu wa nguvu za kiume unakaribia $5billion kwa wenzetu huko majuu.

Hiyo nikusema Ukosefu wa nguvu za kiume ni Biashara nzuri kwa Waganga na watengenezaji wa dawa na tiba.

Afrika kuna ongezeko la watumiaji wa Kondomu maradufu. Kujiridhia, tafuta takwimu za watumiaji wa kondomu Tanzania au tafuta ni units ngapi zimeingizwa Tanzania.

Inaweza kukugharimu zaidi ya Shs millioni moja kwa vidonge kumi vya kuongeza nguvu mtarimbo.


Uhusiano wa kutumia Kondomu na Ukosefu wa nguvu za kiume.

Inakadiriwa, asilimia kubwa ya watumiaji wa Kondomu hupoteza nguvu za kiume pindi wanapoanza kutumia Kondomu.

Je kuna uhusiano wowote ule kati ya kupoteza nguvu na vilainishi vilivyokuwa kwenye Kondomu?

Go figure.

Njama
Siku ukisikia kuna dawa ya Ukimwi, basi ujue Biashara ya vidonge vya kutibia imekufa na kuchukuliwa mazima na vidonge vya kuongeza nguvu...ya kupoteza nguvu za uume....Wangalau gharama za kuingiza hofu kupitia kifo hatimaye itakoma, lakini kutumia aibu kama chombo kutaendelea kutengeneza soko.
 
Back
Top Bottom