Je, mafuta ya kondomu ni salama?

Je, mafuta ya kondomu ni salama?

kwa kondom za kiume ayo mafuta yapo ndani ya kondom yenyewe. mkimaliza kufanya unachomoa mb.oo yenye ayo mafuta na shahawa vyote ivi viko ndani ya iyo kondom(na sio nje). na nazani ht kondom za kike ni ivoivo. mb.oo ndo inayogusa mafuta ya kondom nasio k.

sasa ayo mafuta ya kondom yanayofika kwenye hicho kizazi cha mwanamke ni yapi? ebu fafanua
Peleni wakubwa zangu kwa majukumu.

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sasa kuhusu usalama wa kiafya wa yale mafuta ya kondomu.

Watalam wanawaasa watu (wanawake) wasiingize kitu chochote katika uke wakati wa kujisafisha, mfano: Sabuni,mafuta nk.

Je, vipi kuhusu yale mafuta ya kondomu wakati wakujamiiana huingia katika uke hadi kwenye mlango wa uzazi vipi kuna usalama hapo au kuna shida?

Naomba kuwasilisha,ila kama kuna wadau wenye majibu sahihi waliyofanyia utafiti yakinifu basi wasisite kunisaidia[emoji120]
 
Back
Top Bottom