Je, Mafuta ya Palmers ni mazuri kama watu wanavyoyasifia?

Je, Mafuta ya Palmers ni mazuri kama watu wanavyoyasifia?

Joined
Jul 28, 2021
Posts
7
Reaction score
3
Hbr zenu wandugu, hope mko poa.

Mimi ni maji ya kunde kidogo na my skin is a little bit dry kwa sasa nataka nianze kupaka palmers body cream and oil pamoja na face cream yake.

Kwa anaye yajua haya mafuta vizuri,je ni mazuri kweli au watu wanayapaisha tu?
 
Back
Top Bottom