The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo mchezo?
Swali la pili, kwa hapa Tanzania, gari nyingi zilizotumika hapa watu wengine wakitaka kuuza hua wanachezea Odometer reading. Unawezaje kujua kama hizo reading zimechezewa?
Natanguliza shukrani.