Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

Mimi afadhali ninunue ya 2006 yenye 150,000km kuliko ya 2006 yenye 50,000km hio yenye 50,000km kwa 90% ni za uongo.
Mi huwa nashangaaga sana gari ya 2005 ina kilomita efu 40 kivipi mda wote huo ina paki tu wana mantain vipi gati miaka 16 bila kuendesha ebu nisaidieni mliosafiri safiri kwa wenzetu huko....
 
Mi huwa nashangaaga sana gari ya 2005 ina kilomita efu 40 kivipi mda wote huo ina paki tu wana mantain vipi gati miaka 16 bila kuendesha ebu nisaidieni mliosafiri safiri kwa wenzetu huko....
Akili ya kuambiwa changanya na zako ....gari zote wana Chezea ODO METER Zinazo uzwa laabda chache sn kama 0.00001% kwenye hizi showroom zetu gari ina miaka zaid ya 10yrs unakuta ipo chini.

Mfano
Toyota crown Japan ndio zinazo tumika kama Taxi sasa jiulize hapo utapata jibu

Pili ktk nchi zilizo endelea matumizi ya gari ni makubwa sn unaweza ku cover 10000km kwa mwaka na hiyo ni mtu hana matumizi makubwa kabisa.
 
You are right, ila kwa japan. Kuna utofauti kidogo. Matumizi ya magari sio makubwa kama huku. Sababu gharama za maegesho n.k ni kubwa sana.

Wengi hutumia usafiri wa public haswa train n.k

Pia, kuhusiana na taxi, sio crown zote ambazo huuzwa zinakua hivyo , nakuwekea picha hapa ya asilimia kubwa ya crown za japan ambazo ndio taxi

Na sio tu japan, hata hongkong china.

Asilimia kubwa ya magari yaliyopo japan, ni hivi vigari vidogo vidogo hivi. Vya ajabu ajabu tu.

Ndio vingi zaidi kule.
 
Attachments

  • images (38).jpeg
    images (38).jpeg
    14.4 KB · Views: 9
Njia ya kienyeji kabisa ya kujiua milage , angalia steering wheel, brake pedal , driver seats na power windows switch
Mf gari ya kmn60000 haiwezi kuwa na brake pedal iliyochoka sana , na ukiona pedal ni mpya jiongeze zaidi
Steering na yenyewe huww inaonyesha jinsi ilivyotumika kwa km 500000 steering haitakiwi kuwa imechoka sana , ukiona imechoka jua umefutiwa km
Power windows baadhi zina click kutokana na upya pia , japo hii inatakiwa uwe deep oriented mechanically
 
Sawa ni kuomba auction sheet basi, gari kabla haijapelekwa mnadani ili hao waongeza km hajaenda inunua hufanyiwa tathmini moja ya ukweli ili ipewe grade ya kuingia nayo kwenye mnada eg 4.5,4,3.5 etc hiyo huwa haidanganyi kitu haka kama gari inakiitilafu kidogo itakuonyesha
View attachment 1726885View attachment 1726886
Kwa hiyo mkuu hawa akina beforward huwa wana hizi auction sheet?
 
Kama m'matumbi wa hapahapa bongo anazichezea sembuse mwenye gari zake huko!
 
Hata hio auction sheet inafanyiwa editing.
Hakuna kisichowezekana chini ya jua.
Tatizo wabongo wanajifanya wajuaji sana. Hawataki kuheshimu kazi za wengine
Ndio mana I nabidi hiyo majambo iwe hivo.
 
Ukitaka kuwakomoa watu wa namna hiyo unanunua mpya kabisa toka kwenye karatasi zake. Hiyo haiwi imechezewa.tena unasimamia ikiwa inatengeneza japan hutoki inakamilika wanatest wanakupa.unapakiza melini mpaka bongo
 
Back
Top Bottom