The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Huwa ni sahihi.Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 km je hua ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je Japan hawana huo mchezo?
Vizuri.Huwa ni sahihi.
Na ukihitaji documents za gari husika ili kufuatilia service history yake pia waweza kupewa.
Vizuri.
Je hapa Tanzania unajuaje kama mtu kachezea reading?
Japan wanajitahidi kwa uaminifu. Ila haitoshelezi kuamini 100%.Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo mchezo?
Swali la pili, kwa hapa Tanzania, gari nyingi zilizotumika hapa watu wengine wakitaka kuuza hua wanachezea Odometer reading. Unawezaje kujua kama hizo reading zimechezewa?
Natanguliza shukrani.
Hizo documents ni kama zipi mkuu?Kama utapata documents zote za gari. Hua zinajieleza.
Kwa Japan inaweza kuwa sahihi. Ila kwa hapa Bongo uchakachuji ni mwingi.Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 km je hua ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je Japan hawana huo mchezo?
Swali la pili, kwa hapa Tanzania, gari nyingi zilizotumika hapa watu wengine wakitaka kuuza hua wanachezea Odometer reading. Unawezaje kujua kama hizo reading zimechezewa?
Natanguliza shukrani.
Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache.
Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache
Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo mchezo?
Swali la pili, kwa hapa Tanzania, gari nyingi zilizotumika hapa watu wengine wakitaka kuuza hua wanachezea Odometer reading. Unawezaje kujua kama hizo reading zimechezewa?
Natanguliza shukrani.
Kale kamoja ka mwanzo wanakafuta sana. Uzuri wake ndio huo wanajua gari ni nzuri ila ukiona 170,000km utaogopa kununua.Yes wanachezea sana , kuna mtu aliingizwa mkenge , kwenye odometer aliyotumiwa na jamaa wa japan ilikuwa inaonyesha 53,276km baada ya kupata chassis namba alivyotumiwa document(B/L) akaisearch akaiona gari ilikuwa inauzwa Tradecarview na ilikuwa na km halisi ambazo ni 153,276km ,inamaana jamaa alifuta 1 mwanzoni.
Ila asikwambie mtu gari ya japan hata ikiwa na kilimeter zaidi ya laki 2 lakini kitu MSUMARI.
Kale kamoja ka mwanzo wanakafuta sana. Uzuri wake ndio huo wanajua gari ni nzuri ila ukiona 170,000km utaogopa kununua.
Kama file la gari halipo ( documents ) , achana na hiyo gariKwa Japan inaweza kuwa sahihi. Ila kwa hapa Bongo uchakachuji ni mwingi.
Yard nyingi hawakupi documents za gari. Wanakuambia hazipo.
Wale jamaa sheria ya nchi yao, gari ikisha swampa kilomita 100,000 lazima upeleke ikfanyiwe service kubwa. Ndio maana ni nzuri kununua gari ya japana iliyo na km kama 30,50,60KM inakuwa bado na hali nzuri sana, au 105,000km hapa inakuwa imetoka service kubwa.. ila sio 100% kuwa ni uhakika bado duniani kuna makatili tu, yasio penda wenzao wafurahieYes wanachezea sana , kuna mtu aliingizwa mkenge , kwenye odometer aliyotumiwa na jamaa wa japan ilikuwa inaonyesha 53,276km baada ya kupata chassis namba alivyotumiwa document(B/L) akaisearch akaiona gari ilikuwa inauzwa Tradecarview na ilikuwa na km halisi ambazo ni 153,276km ,inamaana jamaa alifuta 1 mwanzoni.
Ila asikwambie mtu gari ya japan hata ikiwa na kilimeter zaidi ya laki 2 lakini kitu MSUMARI.
Ni kweli kuna jamaa aliniambia gari zenye zaidi ya 100,000km wanakuwa washabadili timing belt...kwahiyo zikija huku no need ya kuchange.Wale jamaa sheria ya nchi yao, gari ikisha swampa kilomita 100,000 lazima upeleke ikfanyiwe service kubwa. Ndio maana ni nzuri kununua gari ya japana iliyo na km kama 30,50,60KM inakuwa bado na hali nzuri sana, au 105,000km hapa inakuwa imetoka service kubwa.. ila sio 100% kuwa ni uhakika bado duniani kuna makatili tu, yasio penda wenzao wafurahie
Ni sheria hiyo pale home Japenga ukitachukua iliyo na 80,000+ jiandae kufanya service kubwa mwemyewe. Chukua gari inayochezea 50,000 - na inayozidi 100,000 iwe hata na 101,000Km .. ila hatupangiani cha kununua ππππ.. mtu akipenda anunue hata yenye 95,000km fresh tuNi kweli kuna jamaa aliniambia gari zenye zaidi ya 100,000km wanakuwa washabadili timing belt.
Nilinunua GX100 ilikuwa na 92,000 nikaiendesha ilipofika 99999 nasubiri iingie 100,000km nikaona -00000 baadae nikacheki hizo dash vizuri ni mbili iliofutwa kwahio ni 200,000! Ila mpaka speedometer imekufa gari ina 255,000km na bado Moto wake ule ule.Kabisa mkuu wanafuta hapo ndio niliamini maana aliyeinginzwa mkenge ni jamaa yangu na mimi ndio niliyomsaidia kuitoa na nikampelekea Mbeya,ila japo walifuta 1 mwanzoni lakini ilikuwa msumari hatari.
Mimi afadhali ninunue ya 2006 yenye 150,000km kuliko ya 2006 yenye 50,000km hio yenye 50,000km kwa 90% ni za uongo.Ni sheria hiyo pale home Japenga ukitachukua iliyo na 80,000+ jiandae kufanya service kubwa mwemyewe. Chukua gari inayochezea 50,000 - na inayozidi 100,000 iwe hata na 101,000Km .. ila hatupangiani cha kununua ππππ.. mtu akipenda anunue hata yenye 95,000km fresh tu
Hapa upo sahihi kabisa, hata kwa maheaaby ya haraka haraka ina sound.. hii ya 50,000 - 2006 kuna uwezekano mkubwa wa kupigwaMimi afadhali ninunue ya 2006 yenye 150,000km kuliko ya 2006 yenye 50,000km hio yenye 50,000km kwa 90% ni za uongo.
Kuna ile moja ambayo ni ya muhimu sana kwa gari (inspection sheet)Hizo documents ni kama zipi mkuu?
Kama file la gari halipo ( documents ) , achana na hiyo gari