Je, magic shaving powder ina madhara ya kiafya?

mimi pia ni mtumiaji wa hiyo kitu ningependa kujua kama kuna madhara
 
Mimi simtaalamu lakini naona inamadhara na ninahisi inaweza kuleta kansa ya ngozi kwani inaua vishina vya vinywekeo kwakuviozesha kwa mda mfupi sana ndiyo maana unavuta nywele zintoka bila ya kusikia maumivu!!think twice on it.
 
Asante mkuu, naomba wataalamu waje watusaidie katika hili.
 
Magic Powder ina mtindo wa kuchagua ngozi kuna wengine huwapenda na mwingine inakukataa. Ila hata ikikupenda sio nzuri sana koz ina mchezo wa kukomaza kidevu! Binafsi natumia Gillete shaving Foam na mambo yako poa. Ko kuwa makini kaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…