GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ulijiuliza ni kwanini Goli hilo lililowapita hao Mabeki wote na Kipa nae Kufungwa kirahisi na Kipumbavu vile upesi sana Camera za Azam Tv zikammulika Injinia Hersi wa GSM na akawa anafurahi mno huku akionyesha kuwa Pesa alizozipenyeza kwa Mabeki wa JKT Tanzania pamoja na Kipa wao zimeenda Kihalali?Kuna goli mabeki wanauangalia tu mpira unapita kwa mtu wa kwanza mpaka wa nne!
Mashabiki wa nchii hii wamejaa vutuko tff wameharibu mpira wa Tanzania jumla ndio maana tukienda nje hatutoboi kbs akili za Tff na za mashabiki zinafanana kwa Yale magoli ya yanga yanashida gani ? Hamzungumzii Mo anavyonunua mechi kila kukicha wapuuzi kweli nyie.Ulijiuliza ni kwanini Goli hilo lililowapita hao Mabeki wote na Kipa nae Kufungwa kirahisi na Kipumbavu vile upesi sana Camera za Azam Tv zikammulika Injinia Hersi wa GSM na akawa anafurahi mno huku akionyesha kuwa Pesa alizozipenyeza kwa Mabeki wa JKT Tanzania pamoja na Kipa wao zimeenda Kihalali?
Goli la kwanza kuchwa kilipigwa farpost baada ya mabeki kushindwa kufanya marking ya kutosha kipa asingeweza kudaka angetengua nyonga.Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania..
Una maana muamala ulisomeka?Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania....
Sasa Rais anahusika vipi hapa?Mnao jadil umu wengi wenu hamjacheza mpira so kila kitu mnakiona RAIS. Tukianza na goli la kwanza kipa yoyote yule hadaki tukija goly la pili ni miss understanding za baki hasa beki namba nne yeye ndie alie kua na uwezo wa kuokoa ule mpira ila aliukosa ivyo kumchangsnya beki 2
Mil.40Akishinda yanga kahonga ila mkishinda utelembwe de mipaka fc ni halali
Yanga hii hii mnayosemaga bakuli fc kejeli za kila aina leo ndo wamepata pesa ya kuhonga?
Majinga mengne bhana