Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asigwa bhanaSiku hizi wanaalikwa Central Police...
Kweli kila zama na kitabu chake.
Kwa sababu ya ule wimbo unaomtukuzaLabda ataalikwa Mrisho Mpoto
Ni mtu wa watu na fisadidaah Uhuru mtu wa watu safi sana haidhuru kuwaalika
Nakumbuka wakati wa kikwete kulikuwa na misafara mingi sana ya wasanii kwenda ikulu lakini tangia uingie uongozi mpya sasa mwaka sijasikia msanii maarufu akitembelea ikulu...je najiuliza hivi magu anaweza mwalika msanii ikulu wakaenda ku-dub Pamoja kama alivyofanya Uhuru kenyata... je magu anaweza vaa vizibao vya vijana kama hivyo
View attachment 468710View attachment 468711View attachment 468712

Pombe anamwita "kizonje"Sizonje labda ndo ana nafasi
kweli kabisa mkuu, unakumbuka mwaka flan museven alitunga na wimbo kabisa na akaperform stejini, wimbo unaitwa ANOTHER RAPNa hv ni mwaka wa uchaguzi huu Kenya anything is possible
Na anampenda MpotoLabda ataalikwa Mrisho Mpoto