Je Magufuli anayaweza haya?

Yaani kuna watu wana haki ya kuwa viongozi wanaweza kuwa kwao ni ma chief au wakina baba babu walikuwa viongozi, wanakuwa wamezoea maisha hayo, sasa tatizo la uongoz first generation ndo ww ukoo mzima ndo ww umetoka! Ni sheeda sana, Uhuru wa watu kazaliwa ikulu kazoea lifestyle hiyo!
 
daah Uhuru mtu wa watu safi sana haidhuru kuwaalika
 
Na hv ni mwaka wa uchaguzi huu Kenya anything is possible
 
 
Na hv ni mwaka wa uchaguzi huu Kenya anything is possible
kweli kabisa mkuu, unakumbuka mwaka flan museven alitunga na wimbo kabisa na akaperform stejini, wimbo unaitwa ANOTHER RAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…