Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ilikuwaje kwa kina Rugemalila, Singasinga Harbinda, Mramba, Yona, Liyumba, Wema Sepetu nk?sidhani kama kuna VIP treatment mahabusu.
maana mpaka unafikishwa gerezani ni kwamba hauna zile nyadhifa tena. unaziacha nje.. huko ni muhalifu kama muhalifu mwingine
Anastahili hiyo Sana tu, jambazi hili. Vipi wale wezi wa Escrow Rugemalila na Harbinda Sigh wenye tuhuma za Kupora Billion 340 wanahudumiwaje?Nafikiri zipo..
Lakini Kwa Sabaya inabidi aswagwe hasaa maana lile ni jambazi muuwaji.
Mfungwa hachagui gereza hivyo hawezi pata vip treatmentKutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu ktk jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk..
Mshana ofisi ya DC huko Hai Iko wazi
Yule Singasinga Harbinda Sigh wa Escrow yupo class gani kwa muda wote huu?Ipo VIP treatment kwa magereza yote. VIP room unapewa godoro safi na blanket. Chakula unakula cha nyumbani na magazeti unaletewa.
Hizi ni kwwajili ya wapigiwa kura. Wapiga kura wote mnakaa third class.
Yule Singasinga Harbinda Sigh wa Escrow yupo class gani kwa muda wote huu?Ipo VIP treatment kwa magereza yote. VIP room unapewa godoro safi na blanket. Chakula unakula cha nyumbani na magazeti unaletewa.
Hizi ni kwwajili ya wapigiwa kura. Wapiga kura wote mnakaa third class.
Yule alichokosa ni uhuru tu, angekua 3rd class hata ngozi yake ingesomeka hivyo.Yule Singasinga Harbinda Sigh wa Escrow yupo class gani kwa muda wote huu?
the same. no special status man. muhalifu ji muhalifuIlikuwaje kwa kina Rugemalila, Singasinga Harbinda, Mramba, Yona, Liyumba, Wema Sepetu nk?
Sigh na kibaka wa Magomeni mapipa wanachanganywa?the same. no special status man. muhalifu ji muhalifu
Yule alichokosa ni uhuru tu, angekua 3rd class hata ngozi yake ingesomeka hivyo.
watetengwa somehow. according to prison law. lakin treatment ni ile ile. lakin sasa itategemea na hukum zao zikoje.Sigh na kibaka wa Magomeni mapipa wanachanganywa?