Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekuachia ujumbe kule PM leo kama siku ya 6 hivi sijui hujauona
Sabaya lazima afie gerezani, tarehe 18 akija Court atakuwa Kama kipande cha kijitiStarehe alizokuwa anazipata sabaya akiwa uraiani, akizikosa kwa miezi 6 kuanzia Sasa sijajua kitakachotokea.
Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk.
Je, watu hawa wakiwa Mahabusu huku kesi zao zikiendelea, huchanganywa na wafungwa?
Je, wanakula chakula cha gerezani ilihali hawajahukumiwa?
Wanavaaje?
Akiugua je hutibiwa gerezani au huruhusiwa kwenda kupata matibabu mazuri atakapo?
NB: Rejea kwa Godbless Lema, Sabaya, Harbinda Sigh, Mramba, Yona, Rugemalila nk.
Mimi pia nahisi kitu Kama hikiKuna mtu kutoka ndani ya magereza aliniambia, kipindi kilichopita ambacho wafanya biashara wakubwa wengi waliwekwa mahabusu kwa uhujumu na ML kilikuwa kipindi cha neema kuu kwa wakuu wa magereza na maofisa.
Hivi ni ndugu yupi wa mfano Rugamalila Singh, au Manji anaweza kugoma wakikaa ndugu kusema mkuu wa gereza na maofisa wapewe milioni 100 ili ndugu yao apewe ulinzi na privilege mbalimbali gerezani? Hakuna!
Mimi pia nahisi kitu Kama hikiKuna mtu kutoka ndani ya magereza aliniambia, kipindi kilichopita ambacho wafanya biashara wakubwa wengi waliwekwa mahabusu kwa uhujumu na ML kilikuwa kipindi cha neema kuu kwa wakuu wa magereza na maofisa.
Hivi ni ndugu yupi wa mfano Rugamalila Singh, au Manji anaweza kugoma wakikaa ndugu kusema mkuu wa gereza na maofisa wapewe milioni 100 ili ndugu yao apewe ulinzi na privilege mbalimbali gerezani? Hakuna!
Mkuu asante kwa majibu yako mazuriKuna mahabusu za polisi hizi hazina VIP.
Magereza Kama Keko wana sell za VIP.
Utofauti ni kwamba wanalala wachache na magodoro safi.
Kuhusu nani akae VIP hiyo inategemea maamuzi ya bwana jela haitegemei umaarufu wako.
Wapo wanaowekwa VIP kutokana na usalama wao either ni mtuhumiwa ambaye anao wenzake na yeye anaonekana ni shahidi mzuri wa kesi.
Pia wapo wanao toa mlungula ilo wakae huko.
Kuhusu chakula, chakula kipo kwa mahabusu wote. Kuna magereza hawaruhusu chakula kutoka nje lakini kama Keko uwe kajambanani au VIP unaweza kuletewa chakula kutoka nje Kama nduguzo wana huo uwezo.
Kuhusu kuchanganywa na wafungwa, mfano Keko na Segerea ni magereza ya mahabusu wafungwa waliopo ni wafanyakazi ambao hushiriki kufanya usafi wa nje na maofisi na pia kupika, unaweza kuchanganywa na wafungwa mchana ila kulala mahabusu peke yao na wafungwa peke yao.
Mavazi unavaa yako kutoka nyumbani na ukihukumiwa orange inakuhusu.
Matibabu Kila gereza lina daktari na siku ukiingia unatakiwa kudeclare matatizo ya kiafya uliyonayo Kama bwana jela atahitaji kujiridhisha utatakiw kutoa vithibitisho. Mahabusu hupelekwa hospital akizidiwa au akiwa na ugonjwa ambao unahitaji daktari wa nje.
Keko Kuna selo ya wagonjwa ambao wanahitaji huduma Kila wakati.
Kukaa VIP inategemeana unaweza ukawa unataka au hutaki. Kwa Sabaya mfano kwa cheo chake anaweza akapewa VIP lakini kwa kesi aliyonayi hilo litamzuia kuwasiliana na wenzake, kwenye kesi mipango.
Itabidi ndugu zake wampelekee mlo wenye nyama za kutosha Kila siku, kaisha kwelikweli.Sabaya lazima afie gerezani, tarehe 18 akija Court atakuwa Kama kipande cha kijiti
Mmh hapana kuna icon ya kunionesha nina ujumbe inbox lakini nikifungua sioni kitu..pls resend kama hutajaliMkuu nimekuachia ujumbe kule PM leo kama siku ya 6 hivi sijui hujauona
Kuna mdau kafunguka hapo juu. Kama una maadui humo ndani itabidi upewe VIP.Sabaya anatakiwa akapelekwe mahabusu ambayo ndani kuna wale aliowaweka yeye mahabusu kwa kesi za kusingiziwa ili wamgeuze mke, aliwe jicho apate mimba
Kwanini wasijenge na Aridhi ya kutosha ipo?Stori za Vijiweni: Miaka fulani palikuwa na mahakama ya kimataifa iliyokaribishwa kufanyikia TZ. Watuhumiwa walipohukumiwa, TZ ilipewa ofa ya kuwafunga waliokutwa na hatia. TZ ilipoteza fursa ile kwa vile hakukuwa na gereza linakidhi vigezo vya kimataifa kumfunga binadamu.
Nchi nyingine za Kiafrika zilikuwa zishachangamkia fursa. Zikawa zinakula pesa za kigeni kwenye magereza yao waliyoyajenga mahsusi.
Pengine ipo haja sasa ya kujenga (ma)gereza kwa viwango vya kimataifa.
Vipaumbele.Kwanini wasijenge na Aridhi ya kutosha ipo?
Hadi simu alikuwa anapiga kama kawaida mpaka magu akamuhamisha mkuu wa gereza 😃😃😃Kuna mtu kutoka ndani ya magereza aliniambia, kipindi kilichopita ambacho wafanya biashara wakubwa wengi waliwekwa mahabusu kwa uhujumu na ML kilikuwa kipindi cha neema kuu kwa wakuu wa magereza na maofisa.
Hivi ni ndugu yupi wa mfano Rugamalila Singh, au Manji anaweza kugoma wakikaa ndugu kusema mkuu wa gereza na maofisa wapewe milioni 100 ili ndugu yao apewe ulinzi na privilege mbalimbali gerezani? Hakuna!
Hao wote unaowataja wakiwa wasikiliza kesi zao wakitoka magereza huwa unawaonaje, unaona ile ni hali ya kawaida kwa binadamu mwenye freedom??Ilikuwaje kwa kina Rugemalila, Singasinga Harbinda, Mramba, Yona, Liyumba, Wema Sepetu nk?