Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

Je, mahakama ilikosea kumfunga jela mhe. Lijualikali bila kuweka mbadala wa faini?

Mahakama iko sahihi kwa sababu so Mara ya kwanza kutenda makosa kama hayo
 
Ufafanuzi mzuri Sana, nimetumia muda wangu kwa faida Leo. JF inatakiwa kuwa kisima cha elimu kama hivi. Ahsante mleta mada, cha msingi uelewe kuwa sekta ya Sheria na uandishi wa habari Tanzania ni majanga makubwa
 
Back
Top Bottom