Amos Enock Member Joined Jul 3, 2012 Posts 56 Reaction score 13 Feb 6, 2017 #21 Mahakama iko sahihi kwa sababu so Mara ya kwanza kutenda makosa kama hayo
Ulukolokwitanga JF-Expert Member Joined Sep 18, 2010 Posts 8,397 Reaction score 7,974 Feb 6, 2017 #22 Ufafanuzi mzuri Sana, nimetumia muda wangu kwa faida Leo. JF inatakiwa kuwa kisima cha elimu kama hivi. Ahsante mleta mada, cha msingi uelewe kuwa sekta ya Sheria na uandishi wa habari Tanzania ni majanga makubwa
Ufafanuzi mzuri Sana, nimetumia muda wangu kwa faida Leo. JF inatakiwa kuwa kisima cha elimu kama hivi. Ahsante mleta mada, cha msingi uelewe kuwa sekta ya Sheria na uandishi wa habari Tanzania ni majanga makubwa