great vision
Senior Member
- Jul 1, 2011
- 113
- 67
Ilimradi aweko hakimu anayetamulika kisheria
Mkuu, kamishna wa viapo anahusika na ku-certify vyeti. Hakimu wa mahakama ya mwanzo nae ni kamishna wa viapo.
Yah, wana charge, hata mimi nisha chargiwa na wakili mahakamani kwa kunigongea mhuriMakamishna wa viapo kuanzia hakimu wa mahakama ya mwanzo, mawakili wanaweza kucertify cheti kuwa ni copy of the original after verifying, kucertify mahakamani ni bure ila kwa wanasheria binafsi nafikiri wanacharge
Kuna tofauti gani kati ya "Commissioner for Oath" na" Notary Public?" Na je Hakimu ni Notary Public?Mkuu, kamishna wa viapo anahusika na ku-certify vyeti. Hakimu wa mahakama ya mwanzo nae ni kamishna wa viapo.
Kwani kuna hakimu asiyetambulika kisheriaIlimradi aweko hakimu anayetamulika kisheria
Mahakama ya kadhi.Kwani kuna hakimu asiyetambulika kisheria
Mahakama ya kadhi.
Mie walinilamba 5,000 bila risiti nikakausha kuondoa usumbufu.Makamishna wa viapo kuanzia hakimu wa mahakama ya mwanzo, mawakili wanaweza kucertify cheti kuwa ni copy of the original after verifying, kucertify mahakamani ni bure ila kwa wanasheria binafsi nafikiri wanacharge
Kwani kuna hakimu asiyetambulika kisheria